Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ahahahahahaaaa ila unafuu upo huwezi linganisha kama unaliwa mwenyewe. Utasikia anakuambia. Nishakwambia acha kibeti[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahahaaa mkiliwa wote hamna wakumlaumu mwenzie
Kila mtu abet kivyake maana nyie mnaojua mpira huwa mnajudge sana wakati mimi naangalia majina ya timu maalufu na mahandsome na majina ya timu zinazonivutia na naishia kumla mhindi...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji1]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] aya mama. Ila hao hao wanabadilikaga siku zingine
 
Back
Top Bottom