Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Any comment....before
Screenshot_20180213-130312.png
 
Jamani nisaidieni kutazama matokeo ya hii Match kwenye app nayotumia wanasema watatoa Updates baada ya mpira kumalizika
c48d20c93bbe64629dbb852a3a405493.jpg
 
wadau wa 1xbet hakuna anayeweza kuvaa mabomu kwenye hii?Bristol Rovers - Rochdale
Team 1 To Score Penalty: No 23 odds
Mi nimevaa mabomu na kujilipua, nikawa siamini, nimevaa kwa mara ya pili ila wakati najilipua imeniambia siwezi kujilipua mara 2 kwenye timu moja.
Jua kwamba wakipata penalty lazima wafunge, wakikosa umeliwa
 
Back
Top Bottom