Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna odd ya 7 naitaman hapa.
Bolton win kiroho safi kabisa. [emoji6][emoji6][emoji6]
 
Kwa mpesa ukishaingia sehemu ya kudeposit watakwambia uingize no ya simu utayotumia kutransact pamoja na kiasi (minimum 1500)
Utaingiza no ya simu kwa kuanza na+255 baada ya hapo utapokea msg itakayokupa no ya kampuni ambayo ni 261144 na ref. no.
Utafanya muamala kwa kiasi kile kile ulichojaza kule, then unarudi kucomfirm, baada ya sekunde kadhaa kitu kitasoma kwenye akaunti.
Shukran mkuu
 
upload_2018-2-13_16-29-37.png
odd 2.5+

upload_2018-2-13_16-30-15.png
oods 3+

upload_2018-2-13_16-30-46.png
odd 3+

upload_2018-2-13_16-31-24.png
odd 2.3+

upload_2018-2-13_16-32-3.png
ood 5+


all the best
 
Back
Top Bottom