Uzazi wa Mpango
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,382
- 1,232
Al ahly fanya kazi nzuri sana mwishoni....nawasubiri chelsea win na super depo ov 6.5 corners,Mungu ibariki safariKama ulifuata hesabu pesa mfukoni
Al ahly fanya kazi nzuri sana mwishoni....nawasubiri chelsea win na super depo ov 6.5 corners,Mungu ibariki safariKama ulifuata hesabu pesa mfukoni
Daah wew una afadhali..Betis wameshikilia Mkeka wangu...!!Al ahly fanya kazi nzuri sana mwishoni....nawasubiri chelsea win na super depo ov 6.5 corners,Mungu ibariki safari
Sure 2-0 ina asilimia kubwa saana leoChelsea anashinda ila sijabet ..2-0 ama 3-0
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee wa fixed matches nmefatilia hadi kaniblock kajua kuwa hawez kuniibia afu nampotezea muda!!
Watatoa usiwe na shaka tuombe MunguDaah wew una afadhali..Betis wameshikilia Mkeka wangu...!!
Leo NBA nataka niende na ndugu zako philladephi 1st Q na BullsBaadae natoka na
Sousa J.
Odds 2.01
Mkuu kama mimi yani dah!Daah wew una afadhali..Betis wameshikilia Mkeka wangu...!!
Betis Mungu akaonekanee tuu...[emoji26][emoji26][emoji120][emoji120]Hiyo mechi ya Betis na Depo nitakuwa nabet live tu,,,chelsea kwa kweli leo nawataman na direct win sanaaa...ngoja nistake kiasi kidogo
UnawezaWakuu nimesajili 1Xbet kwa tigo sasa toka juz siioni kwenye mobile payment sasa ninaweza kudeposit kwa mpesa?? Pasipo kuchange namba?
Princess ila si kila mchezoHv ni kampuni gani ina option ya kubetia kona