Huko unapoteza muda na pesa achana nakonimeweka leo mzee ngoja tuone
Huko unapoteza muda na pesa achana nakonimeweka leo mzee ngoja tuone
Ndiyo inawezekana ila utaratibu utabadilika kidogo kwenye no ya kampuni na ref number.Wakuu nimesajili 1Xbet kwa tigo sasa toka juz siioni kwenye mobile payment sasa ninaweza kudeposit kwa mpesa?? Pasipo kuchange namba?
1xbet wana options za kona hadi mechi za mchnagani kabisa. Hata Yanga akicheza na Lipuli, huwapa options za kona!Hv ni kampuni gani ina option ya kubetia kona
AsanteUnaweza
Unakuwa vipi utaratibu mkuu? msaada hapoNdiyo inawezekana ila utaratibu utabadilika kidogo kwenye no ya kampuni na ref number.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shikamooo Kanji [emoji119] [emoji119]
![]()
Naufata.....
Ni vema Siku moja moja kumtest bookmarker
Bet wonClippers win
State warriors win
Philadelphia win
Odds 2.1
Kwa mpesa ukishaingia sehemu ya kudeposit watakwambia uingize no ya simu utayotumia kutransact pamoja na kiasi (minimum 1500)Unakuwa vipi utaratibu mkuu? msaada hapo
State warious walikuwa wanapiga vikapu hatari hadi nikaogopa.Bet won
Leo niko tofauti na wewe kidogo kaka.Leo free money
Juventus win
Mancity win
Odds 2.8