mzalendo.com
JF-Expert Member
- Aug 2, 2015
- 427
- 303
Man ni k kweli hata sare
Man ni k kweli hata sare
Man alikeraa...lakini Barca ndo mbwaa kabisaaa...Man ni k kweli hata sare
Usihofu,
Rasmi tuko pamoja.
Nlkua busy na mambo mengn.
mda wa kutulia, kuchambua na kusuka mikeka ulkua unabana.
Angalia, Code zinatumwa kwny no ulosajiliWakuu wale wa 1xbet, mliregistrat
Kwa step zpi maana nafanya
Registration na number nyingine hapa wanazngua
Nmejaza kila ktu sasa hapa
Kwenye code hawatumi ndo
Kwenye ttz
![]()
Ndo nasubir sms hapa mkuu lknAngalia, Code zinatumwa kwny no ulosajili
Ha ha ha....![]()
Huyu msengeremaa hata shule hajapita haiwezekani kukosea kiboya hivoo
mkuu statistics kama hii unaipata website au app gani shea pleaseWakuu,
Pia kuna hii game kule Laliga ya
Deportivo vs Betis
Takwimu znaonyesha kua
1. Betis ndio timu pekee inayoongoza timu zote ndani ligi kuu laliga kwa kufunga magoli mengi ya vichwa.
Mpaka sasa wamefunga magoli 11 ya vichwa tokea msimu huu uanze.
2. Deportivo ni timu ya 3 kwny ligi kuu laliga kwa kufunga magoli mengi ya vichwa.
Mpaka sasa deportivo wamefunga magoli 8 ya vichwa kati ya magoli yote 24 waliyokwisha funga msimu huu.
3. Deportivo pamoja na Betis ni mojawapo ya timu zinazoongoza kwa kufungwa magoli mengi ya vichwa.
Mpaka sasa hizi timu zote mbili zimeruhusu nyavu zao kufungwa magoli 9 ya vichwa.
My take
Hii mechi inauwezekano mkubwa wa kutokea goli LA kichwa.
Ushauri.
Unaweza kubet
"Headed goal-YES"
achana nayoWadau vp parfect 12 ya m- bet wameshanila sana
jana kuna mtu kashinda timu 10 kwenye sportpesajackopt amepewa bonus ya sh laki mbiliWadau vp parfect 12 ya m- bet wameshanila sana
keep trying brother you never knowachana nayo
Naufata.....
Sofa score.mkuu statistics kama hii unaipata website au app gani shea please
shukranSofa score.
Hii ni app ya livescore,
Ila sio kwamba utaikuta statistics direct km ilivyo.
Hii app INA hifadhi matokeo yote ya kila mechi na mpk jinsi kila goli LA kwny kila mechi lilivofungwa.
Kwahyo,
unapitia mechi baada ya MECHI na kukusanya data.
Sport pesa wanazingua hyo Jackport yao, nlishwah pata timu kumi kipind cha nyumba skuambulia hata sentijana kuna mtu kashinda timu 10 kwenye sportpesajackopt amepewa bonus ya sh laki mbili