Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jack port ya Mbet iko waz , unona washnd kuanzia 9 had 12 na mgawanyo uko wazi kabisa
hata hiyo haiko wazi kwenye mgao wa pesa na pia huwez kuwa na uhakika kama wamechomeka idadi ya watu ama la

niliwahi shinda gem 9 nikarudishiwa buku kwasbb eti sku hiyo watu walishinda wengi
 
Man u na Feyenoord qumermamayo!
upload_2018-2-12_15-22-48.png
 
Wakuu,
Leo kuna hii mechi ya
" Chelsea vs west brom"

Takwimu znaonyesha,
Kwamba,

1. WEST BROM HAJAMFUNGA CHELSEA Ktk MECHI 16 MFURURIZO

west brom hajashinda mechi yoyote ktk mechi 16 mfururizo alzokutana na Chelsea wanapocheza pale Stanford bridge.

2. CHELSEA HAJAWAHI FUNGWA MECHI ANAPOCHEZA SIKU YA J.TATU STANFORD BRIDGE

Chelsea haijawahi kupoteza mechi yoyote Stanford bridge inapocheza Siku ya Jumatatu against timu iliyomkiani mwa msimamo.

Mara ya mwisho kupoteza ilkua ni mwaka 1992 ikicheza na Nottingham forest

Pamoja na mwaka 1993 ikicheza na Oldham.

3. CHELSEA HAJAWAHI FUNGWA MARA 2 MFURURIZO NYUMBANI

Ktk historia ya football, Chelsea haijawahi kupoteza mechi 2 mfururizo ikicheza nyumbani Stanford bridge.

Imewahi tokea Mara mbili tu, mwaka 2011 ilipopoteza dhidi ya arsenal na kisha Liverpool.
Most Bookings in first half kati ya Chelsea na WBA nataka niwape WBA unaionaje chief maana odds tamu kweli kweli
 
Back
Top Bottom