Wakuu,
Leo kuna hii mechi ya
" Chelsea vs west brom"
Takwimu znaonyesha,
Kwamba,
1. WEST BROM HAJAMFUNGA CHELSEA Ktk MECHI 16 MFURURIZO
west brom hajashinda mechi yoyote ktk mechi 16 mfururizo alzokutana na Chelsea wanapocheza pale Stanford bridge.
2. CHELSEA HAJAWAHI FUNGWA MECHI ANAPOCHEZA SIKU YA J.TATU STANFORD BRIDGE
Chelsea haijawahi kupoteza mechi yoyote Stanford bridge inapocheza Siku ya Jumatatu against timu iliyomkiani mwa msimamo.
Mara ya mwisho kupoteza ilkua ni mwaka 1992 ikicheza na Nottingham forest
Pamoja na mwaka 1993 ikicheza na Oldham.
3. CHELSEA HAJAWAHI FUNGWA MARA 2 MFURURIZO NYUMBANI
Ktk historia ya football, Chelsea haijawahi kupoteza mechi 2 mfururizo ikicheza nyumbani Stanford bridge.
Imewahi tokea Mara mbili tu, mwaka 2011 ilipopoteza dhidi ya arsenal na kisha Liverpool.