Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau hii mechi ya Valencia na Roma nahis tunaweza kupunguza uchungu au nyie mnazionaje.
 
Hili swali nimeuliza mara nyingi sana humu ndani lakini sipati majibu....mpaka stake zetu ziondoke ndio mtato majibu au?
Options ya ku sell inaonekana vze kama unatumia pc, ikiwa timu zilizobaki huna uhakika nazo bas unasell
 
Wadau hii mechi ya Valencia na Roma nahis tunaweza kupunguza uchungu au nyie mnazionaje.
Mm baada ya kulazwa njaa na Barca sikupata nafasi ya kuweka mkeka mpya. Kesho nayo siku chief.
 
Option inaonekana tatizo ni wakati gani unaweza kusell maana nimejaribu mara nyingi inagoma
Sdhan labda kama unataka kusell ikiwa game zmebakia dakika chache iishe,,hata hvo navojua ukitaka kuselll kabla ya hyo game haijazeza unapata pesa nying kidogo kadri ianvokuwa inacheza na possiblility ya kushnda ikiwa ndogo na malipo ya kusell pia yanapungua
 
Huwa wana edit
Hata mimi kidogo niingie mkenge baada ya kuwa anaonyesha win win kila siku, kuja kufatilia vizur nashangaa tiketi namba aliyoonyeshea jana sio hiyo hiyo iliyoshinda leo. Wanigeria na wakenya ndo wanatabia izo
 
We mi nimesha ingia mkenge tayar kwa jamaa anaitwa Rays sina ham acha nipumzike tu.
 
Ndugu wafanyakazi wenzangu tarehe 6 mwezi huu nilidepost tsh. 7000 merdian bet mpaka sasa haijaingia kwenye acount yangu niliwasilana na vodacom wakanambia hela imeenda wakanipa namba za kuwasiliana na wahudumu wa merdian 0754 303 031 lakini kila nikipiga namba haipokelewi nisaidieni ni utaratibu gani unatumika kurudisha hela za namna hii? ili niendelee kuifanya kazi hii niliyoichagua
 
Sdhan labda kama unataka kusell ikiwa game zmebakia dakika chache iishe,,hata hvo navojua ukitaka kuselll kabla ya hyo game haijazeza unapata pesa nying kidogo kadri ianvokuwa inacheza na possiblility ya kushnda ikiwa ndogo na malipo ya kusell pia yanapungua
Ok.. mwisho ni dakika ya ngapi ambapo huwezi sell tena
 
Attachments

  • Screenshot_20180211-234803.jpg
    Screenshot_20180211-234803.jpg
    43.7 KB · Views: 39
Back
Top Bottom