Polee ulimlipa shingapi kwani chiefWe mi nimesha ingia mkenge tayar kwa jamaa anaitwa Rays sina ham acha nipumzike tu.
33kPolee ulimlipa shingapi kwani chief
Huyu yupo real mzeir nmejaribu kufananisha ticket number kabla ya game na zile za result znafanana..
Ukinunua naomba utuletee tena usisahau kuni tag mhindi kanipa kichapo cha hatari mno.Huyu yupo real mzeir nmejaribu kufananisha ticket number kabla ya game na zile za result znafanana..
Tuma picha ya huyo mbaya wetu tumuone ili iwe tahadhari kwetu mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yanii Unaowaamini 100% ndo wanakulaza njaaa
Mbona nkitumia 1Xbet inakuja single bet... Nafanyaje kuweka mkeka moja timu nying
Umeamini?![]()
Mrejesho jamaa nimwizi nimemstukia
Total odds 642
Individual odds 23,25
Total odds 23x25=575
Difference odd 67....
Namuuliza anasema sijui maana ya correct score , nikajua ana ni undermine uwezo wangu waku detect ,