Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Angalia, Code zinatumwa kwny no ulosajili
mkuu mambo vp....
leo naanza rasmi kubet kona naomba msaada kidogo

pale wanapose......
total corners 10.5....9.5....11.5 au 12.5 huwa kuanzia kona ngapi kwa kila option hapo
tafadhari
 
mkuu mambo vp....
leo naanza rasmi kubet kona naomba msaada kidogo

pale wanapose......
total corners 10.5....9.5....11.5 au 12.5 huwa kuanzia kona ngapi kwa kila option hapo
tafadhari
10.5,zifike kona 11 na kuendelea kama ni over,under ziwe chini ya hapo yaan 10
9.5,over zaid ya 10,under chini ya kona 9
8.5 ,over zaid ya kona 9,under chini ya 8
 
Xbet na hizo free code zap ni utumwa yaani zisizidi 1.80 walk zisipungue na time ziwe tatu toka nimeanza najaribu odd zinagoma kufika 1.80 kamili
 
4bea0e3a92c8cbd3bd0ea1ec4f574c3b.jpg
 
Mzee wa fixed matches nmefatilia hadi kaniblock kajua kuwa hawez kuniibia afu nampotezea muda!!
 
Game ya chelsea leo leo ni ngumu kweli kupredict sio kwa normal win wala goals. Kila timu itacheza kwa defence ya hatari saana. Nashauri kama kwa kubeti tutumie kona. Naiona kama itatoa under 2.5 goals na hakuna gg.
 
Back
Top Bottom