KipusaNDAMCHO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,572
- 1,464
lete mkeka watu wajilipueWale wazeee.. wadau ... wakuuu wa 10 minutes draw uhakika ni sanaaa 100%
Ngoja nimsaidie kutetea hoja yake. Basel wamepoteza mechi mbili za uefa (ambazo ni dhidi ya man u mwaka 2002 na arsenal mwaka 2016) tu wakiwa nyumbani na timu za uingereza. alishinda mechi 4 ya eufa (dhidi ya mam u, liverpool na chelsea). Pia anadraw moja tu ya mwaka 2002 dhidi ya liverpool. Kwa rekodi pekee akiwa nyumbani ndio maana anaposibility ya kuwashangaza watu. [emoji4] [emoji4]unataka kuonyesha tu.kwba na ww umeotea na imekua.kweli ila kama una uhakika na ukisemacho njoo na data na supoting reference
Ahsante kwa ushauri mkuuMasharti ya hii hela ya kubet
1. Kabla ya kubet usiwe na lengo lolote, fanya kama umepanda mpunga kwenye mawe, ukiliwa sawa na ukila sawa
Ila
Ukishakula, withdraw na ukafanye matumizi au malengo yako kabla ya kuchungulia odds zilizoshiba humu. Wengine huwa tunakula hela nzuri ila mwisho wa siku tunamrudishia kanjibai kwa ajili ya tamaa ya kuweka stake kubwa zaidi isiyokuwa na jasho. Hakikisha unaacha kiasi fulani kwa ajili ya kuwekeza tena.
mh may bewadau hii game ya juventus na tottenhum msiichukulie easy sana. tott anaweza shinda au droo
Acha uongo mkuu mbona weke la nyuma alipigwa 1 akiwa home?Leo hao Basels wataishangaza dunia nyie wachukulieni poa tu..wabaya sana wakiwa nyumbani kwao hao
I am talking about UEFA and not an internal leagueAcha uongo mkuu mbona weke la nyuma alipigwa 1 akiwa home?
Subiri kipigoI am talking about UEFA and not an internal league