Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

na hii 3way ikoje kwenye betting
3way ni normal
Kuna win
Kuna draw
Kuna lost!!!

1×2
*ukichagua 1 unamanisha home to win
*ukichagua × unamanisha zitoke sare
*ukichagua 2 unamanisha away team to win.
 
Mkuu unaweza kunijulisha jins ya kudeposit 1xbet kupitia airtel maana mwanzo ktk kuandika namba ya simu nilikua naanza na 0688 sasa iv inakataa sipati push massege na bsness company ni likua naandika 400700 .. ref. No 1xbet .
Hata mimi kwa airtel sijawahi deposit natumia tigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…