dalumi
Senior Member
- Oct 19, 2013
- 138
- 106
Madrid ni wabovu ligi tuu kwa sasa. Ila uefa wako [emoji91] [emoji91] [emoji91] mi mwenyewe nimempa normal win20 elfu unamdhamini madridiots?
Madrid ni wabovu ligi tuu kwa sasa. Ila uefa wako [emoji91] [emoji91] [emoji91] mi mwenyewe nimempa normal win20 elfu unamdhamini madridiots?
status ya mkeka wako ipoje? mi nadhani bet wonWakuu hivi ukiweka option ya headed goal NO na mechi ikaisha 0-0 inakuwa won ama lose?
Yaan ww jamaa niwa ajabu sijawahi ona. Mdau aliomba evidence ya kwann basel wanaweza kuishanga man city mm nikazileta. Unakuja kuropoka mineno ya ajabu ajabu tu baana ya matokeo. Huu uzi ni wa kushauriana sio kutokwa na maneno yasiyo na maana tuu. Kua mstaarabu aisee. Wewe kama huna moyo wa kushare acha watu wengine watashare. tumia busara unapomjibu mtu na sikiliza wazo lake kama kakosea mwambie kwa fact aisee.Usifananishe Man city ya sasa na hayo mavitu ya Kijinga uliomention hapo juu!Huyo Basel wenu ka 4 sema tena!!
Hapo mimi nafikri goli lipatikane ila lisiwe headed goalWakuu hivi ukiweka option ya headed goal NO na mechi ikaisha 0-0 inakuwa won ama lose?
Uo u fire wao UEFA unatoka wapi ikiwa walitandikwa na spurs?Madrid ni wabovu ligi tuu kwa sasa. Ila uefa wako [emoji91] [emoji91] [emoji91] mi mwenyewe nimempa normal win
Evidence ulizoleta Jana kuhusu city ziko wapi?Yaan ww jamaa niwa ajabu sijawahi ona. Mdau aliomba evidence ya kwann basel wanaweza kuishanga man city mm nikazileta. Unakuja kuropoka mineno ya ajabu ajabu tu baana ya matokeo. Huu uzi ni wa kushauriana sio kutokwa na maneno yasiyo na maana tuu. Kua mstaarabu aisee. Wewe kama huna moyo wa kushare acha watu wengine watashare. tumia busara unapomjibu mtu na sikiliza wazo lake kama kakosea mwambie kwa fact aisee.
Wakuu hivi ukiweka option ya headed goal NO na mechi ikaisha 0-0 inakuwa won ama lose?
Nilileta za basel na timu za uingereza. Kaisome post vizuri. ya city haipo sababu ndio mara ya kwanza kucheza kukutaka wakati basel wakiwa nyumbani.Evidence ulizoleta Jana kuhusu city ziko wapi?
Ili nikuamini kuhusu madrid!
Naongelea madrid akiwa nyumbani. Toka mwaka 2015 kapoteza mechi moja tu ya uefa dhidi ya schalke. Tofauti na hapo ni draw tuu.Uo u fire wao UEFA unatoka wapi ikiwa walitandikwa na spurs?
Usiishi kwa kukariri Madrid ni totally wabovu
Game ngumu zote wamechapwa hadi spurs kawanyoa
Mkuu ingekuwa vyema ungekuwa unaweka na nchi husika maana ligi za kikapu naona ziko nyingi sanaBet wooooooon
Porto win??????[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]Leo natoka ivi
Porto win
Madrid ov 2.5
Hahaha mkuu najarbu kwenda op na akili za kanjiPorto win??????[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]
Mhanga mwenzangu Wigan wiki mbili mfululizo wananichania mkeka, Jana sikuamini kabisaa Wigan kupigwa mbili na Blackpool nyumbaniWigan jamanii hata roho ya huruma week ya pili mfululizo yanii mimi bhana ku bet najua Sana ila mahaba Yana nimaliza tabia ya kurudiana team inanifilisi
nini maana ya BTS mkuu please ufafanuzi kidogoLiverpool .....BTS 1.74
Madrid .......BTS 1.4
Total odds....2.436
Sitaki kuongeza mchawi leo
na hii 3way ikoje kwenye betting![]()
Wakuu leo nataka nitoke hivi ....ushauri kabla sijalipia....
Both team to score!! Zifungane magoli haijalishi ni magoli mangapi!!nini maana ya BTS mkuu please ufafanuzi kidogo
Odd ya ngapi? imekuja.