usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,977
- 14,103
Pika hata chai nije kunywa bhas
Pika hata chai nije kunywa bhas
Duuh hii ni kiloo kadhaa
Duuh hii ni kiloo kadhaa
Safii sanaa...yap mshahara tosha
Huna loloote kaishangazaje sasa?Kala 4,nyie ndo mnaotishia watu bila supporting evidence ya unalopoka tu kumkatisha mtu tamaa ndon maaana sometimes watu wanaogopa kushare hum kabla ya mechi maana mnawavuruga psychologicaly matokeo yake wanaleta Won ticketsLeo hao Basels wataishangaza dunia nyie wachukulieni poa tu..wabaya sana wakiwa nyumbani kwao hao
Usifananishe Man city ya sasa na hayo mavitu ya Kijinga uliomention hapo juu!Huyo Basel wenu ka 4 sema tena!!Ngoja nimsaidie kutetea hoja yake. Basel wamepoteza mechi mbili za uefa (ambazo ni dhidi ya man u mwaka 2002 na arsenal mwaka 2016) tu wakiwa nyumbani na timu za uingereza. alishinda mechi 4 ya eufa (dhidi ya mam u, liverpool na chelsea). Pia anadraw moja tu ya mwaka 2002 dhidi ya liverpool. Kwa rekodi pekee akiwa nyumbani ndio maana anaposibility ya kuwashangaza watu. [emoji4] [emoji4]
Ngoja niwa changie mawazo wanangu wafaida
MKEKA NAMBA MOJA
Juventus Turin v Tottenham Hotspur
Totals 1.5 - Over 1.44
Wycombe Wanderers v Swindon Town
Both Teams to score - Yes 1.60
TOTAL ODDS 2.3
MKEKA NAMBA MBILI
FC Basel v Manchester City Totals 2.5 - Over 1.60
Cardiff City v Bolton Wanderers 3 Way - 1 1.59
Oldham Athletic v Milton Keynes Dons Both Teams to score - Yes 1.72
TOTAL ODDS 4.38
ungecheza single saa hizi ingekuwa kicheko odds 16Kwa Leo Hii View attachment 695145
Dah kweli me mmoja wapo mkuu naogopa kabisa kushareHuna loloote kaishangazaje sasa?Kala 4,nyie ndo mnaotishia watu bila supporting evidence ya unalopoka tu kumkatisha mtu tamaa ndon maaana sometimes watu wanaogopa kushare hum kabla ya mechi maana mnawavuruga psychologicaly matokeo yake wanaleta Won tickets
Mkuu me nimekwama kwenye kuchagua currency ina nitelea ki russia nafanyanjeAliyefanikiwa kudeposit 1xbet kupitia airtel money naomba msaada sbb sipati push message nikachat na custgomer care akaniambia nisianze na 255 .wala 0688 nianze na 688 nikafanikiwa kupata msg lkn nilipodeposit haijangia ktk account mpaka sasa kama kuna mabadiliko naomba msaada
Chagua Tanzania Tsh. Aki click ktk airtel au Vodacom watakuonyesha Minmum amount ni 1500.00 ukiamua kubadilisha unabadilshaMkuu me nimekwama kwenye kuchagua currency ina nitelea ki russia nafanyanje
Mkuu unaweza kunijulisha jins ya kudeposit 1xbet kupitia airtel maana mwanzo ktk kuandika namba ya simu nilikua naanza na 0688 sasa iv inakataa sipati push massege na bsness company ni likua naandika 400700 .. ref. No 1xbet .View attachment 695241
LOST......sio mbaya matokeo leo ni 3-1 (Tumempiga mitatu, nayeye ametupiga mmoja...Tumelala na faida) Usiku mwema
Leta mkeka na before co unaletaLeoo vip wakubwaaa?????
Nafkir wamekuskiaUsifananishe Man city ya sasa na hayo mavitu ya Kijinga uliomention hapo juu!Huyo Basel wenu ka 4 sema tena!!
Huna loloote kaishangazaje sasa?Kala 4,nyie ndo mnaotishia watu bila supporting evidence ya unalopoka tu kumkatisha mtu tamaa ndon maaana sometimes watu wanaogopa kushare hum kabla ya mechi maana mnawavuruga psychologicaly matokeo yake wanaleta Won tickets