Mr Adam Gella
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,327
- 664
For real yani nshaona ukishare watu wanakuja kwanza na negative perception yani mtu unavurugika kavisa psychologically...wamenboa sana ata kweny magroup ya wasap utani mwingi watu hawapo serious yani!!na at the end of the day mkeka unatik yani!!unajikuta unajuta why dd you share??!Dah kweli me mmoja wapo mkuu naogopa kabisa kushare