ilemi mahome
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 883
- 619
duuh!sijui hwa nakuwa wap?hadi napishana na makololo ya namna hiyo.nextime tupe mapemaHapana Chief ... nliwaomba Over 219.5 ... naona wameshatoa. Na mkeka wa Odds 22 (kokolo) la kikapu limetema. Nililiweka baada ya kuona Porto niliyemwamini anaunguza nyumba jana.
View attachment 695921