Kwa over first q?
Mmh...inaweza kuwa kweli...ebu tuonechunga na hizi timu Napoli na Atl Madrid nahisi focus yao ipo kwenye ligi zaidi ya huku europa
Lyon na Sporting CPMmh...inaweza kuwa kweli...ebu tuone
Hawaa ndo uhakikaa au???Lyon na Sporting CP
atl hana chake ligi kuu,so huku lazima akaze takochunga na hizi timu Napoli na Atl Madrid nahisi focus yao ipo kwenye ligi zaidi ya huku europa
GSW wameniharibia siku.
Hapana mkuu, wamenipa hela sana so siwezi kata nao tamaa unless Stephen Curry na Durrant waondoke.Hukomi tu Bro?
Hapana mkuu, wamenipa hela sana so siwezi kata nao tamaa unless Stephen Curry na Durrant waondoke.
Atletico ana uhakika wa UEFA next season binafsi naona atawekeza nguvu ktk ligiatl hana chake ligi kuu,so huku lazima akaze tako
wote hao sio wa kuwaamini kwa asilimia zoteHawaa ndo uhakikaa au???
Wee jamaa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kalesupuchunga na hizi timu Napoli na Atl Madrid nahisi focus yao ipo kwenye ligi zaidi ya huku europa