Nenda inplay cheza under2.5 au draw kurudsha chako incase hawatapata goli mojapale unapokua unasubir goli moja mechi ya madrid na dk zinayoyoma
Tuwe na imani mkuu... Psg lazma apate goli mojapale unapokua unasubir goli moja mechi ya madrid na dk zinayoyoma
SematenaTuwe na imani mkuu... Psg lazma apate goli moja
ALIEFWATA HII RONALDO ILIKUWA AGAIN NA 2.10...Rmadrid OV 2.5/3.5
[HASHTAG]#stakehigh[/HASHTAG]
Rinaldo again to score
Nahisi saiz umeelewa sasa. Madrid sio watu likija suala la uefa. Hawanaga masiala kabisa. Kuwafunga inabd ujipange mno.Uo u fire wao UEFA unatoka wapi ikiwa walitandikwa na spurs?
Usiishi kwa kukariri Madrid ni totally wabovu
Game ngumu zote wamechapwa hadi spurs kawanyoa
GG imenigomeaKlop kafanya umafia sana leoLiver 5-0....kama ulibet kiushabiki umeumia
Madrid wameonesha kuwa wao ni mabigwa wa kihistoria,,, dahNahisi saiz umeelewa sasa. Madrid sio watu likija suala la uefa. Hawanaga masiala kabisa. Kuwafunga inabd ujipange mno.
BET WON again
Ufaransa hamna mpira pia kaka.Madrid wameonesha kuwa wao ni mabigwa wa kihistoria,,, dah