Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna mtu amewahi kukutana na tatizo hili :

Natoa pesa 1xbet inakataa inasema funds haziwezi tolewa mpaka bonus condition iwe met wakat last week tu nilitoa pesa bila tatizo. Je natakiwa nifanye nini hapa?
Hiyo bonus yao ulitumia kwa kubet kama wanavyotaka?
 
upload_2018-2-16_17-19-37.png
upload_2018-2-16_17-20-38.png
 
Wakuu naomba ushauri hapo ikiwezekana niongeze apo ifike 10 please mawazo tafadhali
Untitled.png
 
Nimetoka likizo embu tuone hapa leo! Usimpe chelsea win anaweza kubanwa hull namjua! Leicester atashinda FA nikama UEFA yake! Legia warzaw na NEC nimewasahau ila watashinda leo!
7f85f1f195e65a1907f6d02ae77a8f5e.jpg
d429c6583457f1df452b1a8ab4431418.jpg
 
Ulitumia nini kuwaambia
Ingia kweny app ya 1X kisha bonyeza mistari iyo mitatu juu kushoto, kisha minya apo kwenye account yako panapoonesha jina lako ulilojisajili.

Utaona sehemu imeandikwa customer support bofya hapo itakuletea option ya kuchati au call utachagua wewe unachotaka hapo mkuu.

Me nliwaambia nataka ku deactivate bonus account ili niweze ku withdraw from main account wakanisaidia mkuu.

a60515bf7a5acf43920ac0d60d4684c3.jpg

Iyo sehem imeandikwa customer support juu kulia [emoji115]
 
Asante...nimefanikisha
 
Back
Top Bottom