tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
Na mimi nimeamua ku-DEACTIVATE bonus account yasije yakanikuta.Nenda kweye bonus option utakuta wamekupa bonus una deactivate bonus iyoo ndio utaweza chomia huo mpunga
Na mimi nimeamua ku-DEACTIVATE bonus account yasije yakanikuta.Nenda kweye bonus option utakuta wamekupa bonus una deactivate bonus iyoo ndio utaweza chomia huo mpunga
hakun kuumiza kichwa tena asante 1xbetBora kukomaa tu na hizi options za ajabuajabu hadi kieleweke.
View attachment 696589
Majawabu yao haya hapa chief:
View attachment 696595
hahahahahahAiseee Nimekagua 1Xbet nimekutana na vitu vya aina mbalimbali na vyenye urahisi kutokea. Nilikuwa na Kiwanja Primierber nimeuza naenda 1XBET kuanzia kesho jioni nasubiri kubeba mizigo yangu.
chukua saivi mkuu hawakawii kuchokonoa mtandao kesho1Xbet Kona zipo hadi ligi ndogo ila hawa wabana matumizi wanajidai na Viodds vidogo watajijua.
Nataka kesho nichukue pesa yangu nisepe aiseeee.
Nimepigwa stop kuondoka leo maana kuna pesa nilideposit Premierbet ila Iko hewani haijaenda nasubiri niende nayo.chukua saivi mkuu hawakawii kuchokonoa mtandao kesho
Naomba nisaidie kuna Option yao yenye kuonesha Over 1 Coner na Over 1.5 hii ina tofauti gani?1xbet ni kampuni bora sana...huku kwenye bet history kuna kijan kwa 90%....r.i.p mbet,princess na ndugu zako wengine
Safi Sana, [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna kampuni ulikuwa unabet Timu huoni hata wanavyocheza hapa Unaoneshwa live kama unaruka unajua hata wamevaa jezi gani, Kule unaweza kubet kumbe ni Wahindi wanacheza na Mashetani huko Gamboshi.Over 1 ina mana corner ziwe kuanzia 1 na 1.5 kona ziwe kuanzia 2
Nisaidie promo code yao mkuuHii bonus ya 1x bet mbona mbinde kuicheza kila nkiweka game inachomoa
Mkuu mbona mie nikiweka kwny selection ya currency ina nijia lugha ya kirusi na sio EnglishAiseee Nimekagua 1Xbet nimekutana na vitu vya aina mbalimbali na vyenye urahisi kutokea. Nilikuwa na Kiwanja Primierber nimeuza naenda 1XBET kuanzia kesho jioni nasubiri kubeba mizigo yangu.