Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asanteni Besiktas....hahahaaaa yaan nimewapa inplay wasndinde kwa tofauti ya goli tatu...kitu wooooon
 
1Xbet Kona zipo hadi ligi ndogo ila hawa wabana matumizi wanajidai na Viodds vidogo watajijua.


Nataka kesho nichukue pesa yangu nisepe aiseeee.
 
Hii bonus ya 1x bet mbona mbinde kuicheza kila nkiweka game inachomoa
 
Aiseee Nimekagua 1Xbet nimekutana na vitu vya aina mbalimbali na vyenye urahisi kutokea. Nilikuwa na Kiwanja Primierber nimeuza naenda 1XBET kuanzia kesho jioni nasubiri kubeba mizigo yangu.
Mkuu mbona mie nikiweka kwny selection ya currency ina nijia lugha ya kirusi na sio English
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…