ningekua n salio ningejaribu kuvuta kiasi kidogo afu pale kwenye namba nikaweka ya kwangu ya voda nione kitu gani kitatokeaMimi pia hiyo option ya mpesa haiji na nina mpunga wangu huko nataka kuwithdraw sijui kama kuna njia nyingine mnisaidie maana naona airtel money na tigopesa tu
Sawa kiongoz Shukran sana!!.sawasasa mkuu tupo pamoja nami nimeona wameiondoa ila nadhani watarehesha tu
tupo pamoja
Kweny betslip yako weka team zenye odds kuanzia 1.40 si chini ya tatu ndio itakubali kutumika iyo BonusHii bonus ya 1x bet mbona mbinde kuicheza kila nkiweka game inachomoa
Kokolo lote hili lilikuwa na Odds 17
Nomme Kalju FC - FS Metta Lu
Over(1.5) Woooon
Odds BK - Stabaek Fotball
Over(1.5) Woooon
Chelsea - Hull City
Over(1.5) Woooon
Hertha BSC - Mainz
Over(0.5) Woooon
Monaco - Dijon
Over(1.5) Woooon
VVV Venlo - Groningen
Over(0.5) Woooon
FC Eindhoven - Jong AZ Alkmaar
Over(1.5) Woooon
Fortuna Sittard - SC Telstar
Over(1.5) Woooon
Almere City FC - Go Ahead Eagles
Over(1.5) Woooon
Helmond Sport - Jong FC Utrecht
Over(1.5) Woooon
FC Emmen - De Graafschap
Over(1.5) Woooon
FC Volendam - FC Dordrecht
Over(1.5) Woooon
MVV Maastricht - NEC Nijmegen
Over(1.5) Woooon
St Mirren U20 - Celtic U20
Over(1.5) Woooon
Atiker Konyaspor 1922 - Besiktas
Over(1.5) Woooon
BOOM 100% bet slip woooon kama hukuiona Leo nayo siku
Amesha tuma mkuu rudi nyumaThanks mkuu ... hii ndio favourite option kwangu mm (over 1.5). Ukituma na leo nakufuata Chief. Ngoja nikae mkao wa kula kbs .... awaiting
Mkuu nimeshaweka za Leo kwenye post [HASHTAG]#126370[/HASHTAG]Thanks mkuu ... hii ndio favourite option kwangu mm (over 1.5). Ukituma na leo nakufuata Chief. Ngoja nikae mkao wa kula kbs .... awaiting
Soccer betkampuni gani?
Mkuu nimeshaweka za Leo kwenye post [HASHTAG]#126370[/HASHTAG]
E payWakuu kuna anaeipata Elipa kwa 1xbet maana tangu jana naitafuta wakat wakulipia inakuja Mlipa tu
Ndio na kuwa inafika fastaMkuu koncho umewahi kuwithdraw kutoka 1XBET?.