Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi mwenyewe bado sijakiunga na e pay ila nilitamani kujiunga ngoja waje wazoefu watupe mwelekeo.
mm account yao ninayo ila tatizo kila ninapojaribu KUFANYA muamala naambiwa "Google verification code is incorrect". tangu Jana usiki nahangaikia kweli harafu hata hiyo google verification sijui NI kitugani nachoulizwa. mwenye uelewa au aliyewahi kuwatumia Epay atusaidie tafadhali
 
Asante Kwa Jana Hii kitu imenipa pesa ya supu
 
Na Mimi akaunti ninayo lakini naambiwa hivyo hivyo na hata nikiziweka naambiwa incorrect
 
POINT 36 HIZI HAPA BEBA UNAZO WEZA SIO LAZIMA ZOTE

Wolfsburg v Bayern Munich Total Goals - Over/Under 2.5 (Over 2.5 goals)

Udinese v Roma Match (Result Roma)

Brighton v Coventry Match (Result Brighton)

PSV v Heerenveen Total Goals - Over/Under 2.5 (Over 2.5 goals)
ADO Den Haag v Willem II Match (Result ADO Den Haag)

NAC Breda v AZ Alkmaar (Match Result AZ Alkmaar)

Schalke v Hoffenheim Match Result Schalke
 

Jana uliniokoa na leo nakufuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…