Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Muhindi analeta uhuni! mechi ya Fernabache ilivunjika akiwa anaongoza 1-0 ye kaweka 0-0 kama matokeo!sheria ikoje hapa?
 
Muhindi analeta uhuni! mechi ya Fernabache ilivunjika akiwa anaongoza 1-0 ye kaweka 0-0 kama matokeo!sheria ikoje hapa?

sheria inasema game ikivunjika itaondolewa kwenye list.. Yan kama ulikua umeweka timu 3 sahv zitakua 2
 
Iplay 8 cassino mbona inazingua.? Page yenye mikeka haifunguki kwangu toka jana jioni, inaishia katika welcome page, ukiclick sports betting inakuja page blank. Ni mimi tuu ama sote ni hali hiyo..
Hivi hao jamaa huwa wanalipa kweli au ndo magumashi?
 
Milan game leo anashinda,

We unamuamini Shifta??
Kama unaweka mzigo wala usijiulize mara mbilimbili Muue Milan haraka tena kwa Cap ya 2+....

Shifta Ana uwezo wa kumkana hata ndugu yake huyo mbele ya Milan..
 
Mikeka posible ya leo. Bayen,atletico,lecester,brighton,derby,petershrough,leeds
 
Hivi hao jamaa huwa wanalipa kweli au ndo magumashi?

hawa jamaa hawaeleweki,mi nimeachana nao baada ya kunizingua,wamesema huwez kubet mpk udeposit pesa nimeweka pesa kwenye acc hawaleti page yenye kuniwezesha kubet yan wiki sasa,pesa yangu imeenda bureee nimetapeliwa
 
Kukudhulumu sio rahisi mkuu mcheki huyu jamaa kwa email atakusaidia. roburt@iplay8casino.com

Za leo live betting...
Bayern arsenal 0-0 half time
Atletco 1-0 half time
 
kwa mara nyingine tena nshaua mhindi.....2000 kwa 122250 shukrani kwa wolves, leyton na Rotherham kwa hand cap tamu........
 
hawa jamaa hawaeleweki,mi nimeachana nao baada ya kunizingua,wamesema huwez kubet mpk udeposit pesa nimeweka pesa kwenye acc hawaleti page yenye kuniwezesha kubet yan wiki sasa,pesa yangu imeenda bureee nimetapeliwa

Dully wale kukudhulumu si rahisi...kuna sehemu tu unakosea ww...wasiliana nao kwa email jamaa ni wakarimu na wanajibu faster
 
Haya jamani yaliyopita si ndwele,jana bayern na arsena wamelisha wengi,tuweke mikeka ya leo..
Uhakika na pesa ndefu
man city,psg
 
Back
Top Bottom