Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Premierbet huwa siwamaind kinoma maana service yao ni poor kinoma
 
Dah hata siku ambayo pesa inaonekana nje nje tunapigwa. Mkeka wa 170000 celtic kauchana. Nikawa mbishi. Nikafuma mngine, Galatasaray wakachana.

Hii kazi kwa kweli inakuwa ngumu
Yanii me siku nkiona nishaliwa mapema mkekaa... Aisee jitahidi utuliee tuu uache siku ipite...!! Yanii ukianza kuliwaa kulaa siku hiyo Probability yake ni ndogo maana unabet hujatulia kabisa yana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…