Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndio nilikuwa najigeuza hapa kitandani nianze kukoroma naona simu ina vibrate....

Kumbe sporting kampasua mtu huko [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Daah Kweli man city akaona afungwe..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16]*****...!! Najilipuaa nalala liwaloo naliwee....
 
Daah Kweli man city akaona afungwe..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16]*****...!! Najilipuaa nalala liwaloo naliwee....
Kesho pesa itakuwa nyingi sana... sasa hivi nitakuwa na bet timu 4 maana ukiweka timu nyingi zinazingua.... afu nitakuwa naweka stake ya maana ndio faida inakuwa kubwa
 
Sema humu ndani watu Wana chagua Sana mikeka ya kuchangia mawazo unaweza omba ushauri tangia asbh mpaka mechi zinaana no body cares ndo maana mie sikuiz na fanya uchambuzi mwenye nikimaliza napitia humu kidogo then na stake on my own risk na matunda Nimeanza kuyaona tokea week iliyo pita
 
Unacho kisema nichakweli alafu kunatabia ukiweka mkeka hata iwe direct win mtu anaanza kukuponda aiseee.
 
Kweli kabisa kama jana nilijilaumu kutia timu nane timu saba zikatika inakuja kuharibu timu moja....

Huwa inakera sana mkuu...[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Huwezii jua team gani inaua ila Mimi odds ya 1.13 never ndo maana Leo man City nili bet over ya 4.5 half time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…