Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Kea mfano mkuu Mimi na jiamini Sana najua ku bet ila Kuna muda mapenzi na bahati na kosa so nakuja jukwani kuomba ushauri muongo ila unona kabisa watu wako online Wana post wana vuka maombi yako wnakera ila ndo hivyo mkuu binadmu tuna choyo na ubaguzii sana wakati sisi humu sote lengo letu kanjii akaee tuinue vipatao.betting is a serious business Mimi Kuna watu wazima wa heshima hi ndo kazi yao na wanasomeashaUnacho kisema nichakweli alafu kunatabia ukiweka mkeka hata iwe direct win mtu anaanza kukuponda aiseee.
Over 1.5 ya man city ilikuwa na odd 1.08 yaan saivi nibora niliwe kwenye odd 2+ kuliko 1.08 *****.Huwezii jua team gani inaua ila Mimi odds ya 1.13 never ndo maana Leo man City nili bet over ya 4.5 half time
Ndo hivyo mkuu Ni Mara kibao Barca,psg,wanapewa odds za kixenge hawashindi ..Sasa kesho Bayern ana odd kidaga unaenda mpa directly win labda Kama una stake 1mOver 1.5 ya man city ilikuwa na odd 1.08 yaan saivi nibora niliwe kwenye odd 2+ kuliko 1.08 *****.
Kweli mkuu sometimes ukileta mkeka humu wanaangalia na mtu mwenyewe kwahiyo sisi ambao sijui hawatujui tunaishia kung'aza sharubu.Kea mfano mkuu Mimi na jiamini Sana najua ku bet ila Kuna muda mapenzi na bahati na kosa so nakuja jukwani kuomba ushauri muongo ila unona kabisa watu wako online Wana post wana vuka maombi yako wnakera ila ndo hivyo mkuu binadmu tuna choyo na ubaguzii sana wakati sisi humu sote lengo letu kanjii akaee tuinue vipatao.betting is a serious business Mimi Kuna watu wazima wa heshima hi ndo kazi yao na wanasomeasha
aseee mimi sitakagi kabisa kuchezadirect win hasa kwa timu zenye odds kiduchuHuwezii jua team gani inaua ila Mimi odds ya 1.13 never ndo maana Leo man City nili bet over ya 4.5 half time
Majini ya muhindii huwa anawekeza kwenye odds ndogo team sure...jmosi Basel,Jana tot,Leo man Cityaseee mimi sitakagi kabisa kuchezadirect win hasa kwa timu zenye odds kiduchu
Cheza magoli mkuu au 28+
Hii mechi inaniumiza kichwa sijui kesho nitoke vipi.
Ha ha ha. Hiyo inaitwa nzi kafia kwenye kidondaUkisikia demu unaemuamini ndo anakupa Gonorea ndo hiii...!! Kujikutaa anajua.mpiraa leo kashindwa kupata hata la kufutia machozi...shwain
ahahah eti 'kungaza'Kweli mkuu sometimes ukileta mkeka humu wanaangalia na mtu mwenyewe kwahiyo sisi ambao sijui hawatujui tunaishia kung'aza sharubu.
Nilileta mkeka baadhi ya watu wakauzomea kinoma dah aisee.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]leo mhindi karudisha pesa zakeeHa ha ha. Hiyo inaitwa nzi kafia kwenye kidonda
[emoji2] [emoji2] ..wewe subiria mikeka yako ianze kuwa won utaona....nyomi lakeKweli mkuu sometimes ukileta mkeka humu wanaangalia na mtu mwenyewe kwahiyo sisi ambao sijui hawatujui tunaishia kung'aza sharubu.
Nilileta mkeka baadhi ya watu wakauzomea kinoma dah aisee.
FC Viitorul Constanta - FC Botosani
FC Viitorul Constanta
1.78
KS Gornik Zabrze - Termalica Bruk-Bet Nieciecza
Gornik Zabrze
1.75
====
Odds: 3.12
Blackburn Rovers - Bury FC
Blackburn Rovers
1.50
Jong Ajax - FC Oss
Over 0.5 goals (First Half)
1.13
Djurgardens IF - Degerfors IF
Over 1.5 goals
1.18
Genclerbirligi - Goztepespor
(Handicap 0:2 Goztepe Izmir)
1.23
=====
Odds: 2.46
Umeona eehJapokuwa bahati Ni muhimu ila pia ku stake big money na team kidogo inapunguza risk