Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

SINA BANK ACCOUNT TATZO NATAKA NITUMIE M-PESA
Fungua bitcon account. Afu purchase bitcoin kwa kiwango sawa na hela unayotaka deposit huko 1xbet in euros. Ukimaliza apo. Nenda kwenye akaunti yako ya euro kwenye 1xbet afu deposit kwa bitcoin. Pia ukiwa na bitcoin unaweza tumia hizo money transfer zozote uzijuazo i.e skrill, neteller etc

Caution; fanya muamala wa bitcoin kwa haraka maana bei yake hua haitabiliki.
 
NAIPATIA WAP HIYO BITCOIN NITAINUNULIA WAP ...? MSAADA
 
20.02.2018
Leo natoka ivi wadau na Option 3 Ngumu.
1.Chelsea FC v FC Barcelona Halftime Fulltime - 2/1 Odds-31.07
2.Chelsea FC v FC Barcelona Halftime Fulltime - 1/2 Odds-24.68
3.Chelsea FC v FC Barcelona Halftime Fulltime - x/1 Odds-7.54
Ntapoteza 2 lakini moja italipa hasara na faida juu.
Only God know but Devil doesnt know.Cheers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…