Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

chelsea ungeweka ht/ft 2/1
 
NAMIPIA
MKUU ILA NILIPOANDIKA NAOMBA NIFWATE JUU ZAIDI KUDAI MZIGO GAFLA NKAAMBIWA SUBIRI DK TANO
 
NAMIPIA
MKUU ILA NILIPOANDIKA NAOMBA NIFWATE JUU ZAIDI KUDAI MZIGO GAFLA NKAAMBIWA SUBIRI DK TANO
 
wadau Chelsea v Barca watatoa kona 10 leo??

roho inasita sana leo kubet kona
 
Kizuri zaid ni kwamba now hakuna mambo ya beyonic,mlipa wala push message so kesi za pesa kupotea zitakuwa hakuna,
coz reference namba ni Acc ID yako
Hiyo gsb ni kitu gani chief...
Then kwenye 1×bet unaweza kudeposit na kuwithdraw Kwa Njia ya kawaida mfano tigo peas!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…