Pamoja sana mkuukaribu 1xbet
Mou huwa hana plan B ya uhakika kwny mechi zake nyingiMkuu sina mbavu hapa kwa neno 'SUB HOVYO HOVYO'
Wako vizur sn hao jamaaJana nikawaambia Chelsea na Barca goli la kwanza walifunge kwa mguu Willian akafanya kweli
Buyern na Besiktas nikawaambia corner ipatikane kabla ya offside ikawa hivyo.
Nikapata odds 2 nikaweka 55k
Simu ikaisha chaji nikaenda kulala kwa sababu nilikuwa nimechoka hata mechi sikuzicheki asubuhi nakuta kijani tupu
1XBET RAHA
sana sana sanaWako vizur sn hao jamaa
Hiyo inafaa sn kwa mechi ambazo home team ina attacking squad Kali na inahitaj sn matokeo kufuzu hatua flan mbeleniKuna option wanakuambia dk ya 00:00 hadi dk ya 10:59 zipatikane goal kick 2 tu halafu wanakupa odds 1.50-1.65
Mkuu Buddy si umeona alichokufanyia Barcelona, kama nilivyokuambia akipona atapata sare. Wale jamaa kama umecheki mechi zao hivi karibuni utawajua wamekua wazembe mnoo
Big upKama nilivyowaambia AFC CHAMPIONSHIP KONA za kutosha
Mkuu mbona sija ingamua hiyo op ya Sub under/overkaribu 1xbet
Kweli mkuu halafu timu nzuri zaidi kwa option hii ni zile zisizoposses mpira sana kama Barca na Man CityHiyo inafaa sn kwa mechi ambazo home team ina attacking squad Kali na inahitaj sn matokeo kufuzu hatua flan mbeleni
Tumia app yao mkuuMkuu mbona sija ingamua hiyo op ya Sub under/over
Siootu uzembe mkuu budy nimeangalia hist yao NA pale darajani maranyingi wamechezea drw mkuu..walichokifanya n kutimiza wajibu waoo wa drwMkuu Buddy si umeona alichokufanyia Barcelona, kama nilivyokuambia akipona atapata sare. Wale jamaa kama umecheki mechi zao hivi karibuni utawajua wamekua wazembe mnoo
Haposuper kabisa mkuu ongezeaLeo mapumziko hela kesho europa direct wins
Arsenal
Atletico
Bilbao
3+ odds
Kuna humbwa wengine wanaitwaKweli aisee ... na wakanichania mkeka ! ... daah, ila alichokifanya Tranmere nae ni upuuzi wa kiwango cha lami.
Bayern inamfaa sn akiwa alianz arenaKweli mkuu halafu timu nzuri zaidi kwa option hii ni zile zisizoposses mpira sana kama Barca na Man City
timu zenye njaa/kasi ya mashambulizi kama Liverpool, Tottenham na PSG ndio timu nzuri zaidi kwenye option hii