kodian
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 977
- 1,106
Vip madrid leo anaweza fkisha corner 8Bayern inamfaa sn akiwa alianz arena
Pia hata timu km intermilan inawafaa sana
maana wao ni wazee wa kubutua sn anytime inapopatikana nafas
Ndo maana hutoa corner nyng.
Hii option inauhusiano sn na timu zinazotoa sn corner na kushoot kutokea nje ya box
maana timu nying znazotoa sn corner, huwa na kiu Kali sn ya ushindi.
Hivo hulitafta goli kwa namna yoyote ile.