Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

KUNA MECHI ZA SAA KUMI NA MBILI HAPA POINT TATU HIZI
-Doxa Katokopias FC v AC Omonia Nicosia
Cyprus Cyprus Cup
21-02-2018 18:00:
Totals 2.5
Over

-AL Nahdha v Alshoulla
Saudi Arabia Division 1
21-02-2018 18:15:
Double Chance
1X
-Bodo Glimt v Sandefjord Fotball
International Clubs Club Friendly Games
21-02-2018 18:00:
Both Teams to score
Yes
 
Hyo option ya sub ni tamu sana.

Ila sio kwa kuicheza na mourinho

Huyu jamaa anaakili za kipumbavu sn
Aliwah nichania mkeka kwa sub zake za kijinga jinga

Nliicheza, 2 half akamuingiza felaini.

Hakumkawiza akamtoa tena.

HUYU JAMAA UWA ANAPANIC SN ANAPOSHIKWA KWNY MECHI

YAAN ANAHAKIKISHA SUB HOVYO HOVYO MPK SUB ZOTE ZINAISHA.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Deepond naomba ushauri hii 1min events vip iko vizuri kuipiga pesa???
Iko vizur,

Ila naipenda sn kwny upande wa foul na throw ins

Huko ndiko kuna pesa hasa ukizijua kiundani style of play za timu husika
 
e39af12e22c3ba7baf9394d6ce332bbd.jpg
8ea21030c9faaa3f0316509c984121f8.jpg
23257ab5173818b44bd958dee9611ef5.jpg
804fe45327a04eddd7ac2777fab4549f.jpg
07eeb54b6cf1c2f984d07fa849e32346.jpg
c255d5b8dd34ccdee90e6ef705ffd2c7.jpg
 
Nimekuwa nikiwafuatilia kwa muda mrefu sana wadau lakini naona tatizo wengi wetu tuna tamaa sana na odds nyingi.

Mimi ni mmoja wa watu ambao nimekuwa nabet kwa muda mrefu huku nikitafuta njia ya kutengeneza kipato kupitia betting, nimekuwa nikifanya utafiti wa kutafuta vyanzo mbalimbali vinavyofanya tathimini ya michezo mbalimbali ili kupata tips za mpira za uhakika lakini bado sijafanikiwa kwa 100%. Ninachoweza kushare nanyi ni link ambazo zinaonekana kuuza tips kwa options mbalimbali ambazo zinaweza kufanya ukatajirika kupitia betting.

Jaribuni nanyi kufanya tafiti juu ya hizi link labda tunaweza kupata kitu kwa pamoja ambacho kinaweza kutusaidia kwa pamoja
1. Soccer Match Fixing Tips, Fixed Soccer Match For Today - Soccermatchfixer.com
2. Soccer Combo Bets & Predictions Tips 2017 - Soccercombo.info

Jamani nawaomba tupite hapo, tuone kwa pamoja, pia tunaweza kutengeneza group whatsapp ili tutengeneze njia nzuri na kuona kama tunaweza kufanikiwa.
Scammers mnaanza kutuletea huku?
 
Wahuni tu hao

Wanafanya marketing kiujanja ujanja.

TIPS ZA KUTOSHA ZIKO HUMU HUMU NDANI YA UZI WETU
Mi nilisha pigwa pesa mwanzon sababu ya hao wajinga. Yaani humu ni zaid ya hao wanao uza.
 
Back
Top Bottom