Mduku
JF-Expert Member
- Nov 8, 2017
- 302
- 163
Nikweli mkuuWahuni tu hao
Wanafanya marketing kiujanja ujanja.
TIPS ZA KUTOSHA ZIKO HUMU HUMU NDANI YA UZI WETU
Nikweli mkuuWahuni tu hao
Wanafanya marketing kiujanja ujanja.
TIPS ZA KUTOSHA ZIKO HUMU HUMU NDANI YA UZI WETU
hii yote hasira ya kumchafua kanji za usoNimekuwa nikiwafuatilia kwa muda mrefu sana wadau lakini naona tatizo wengi wetu tuna tamaa sana na odds nyingi.
Mimi ni mmoja wa watu ambao nimekuwa nabet kwa muda mrefu huku nikitafuta njia ya kutengeneza kipato kupitia betting, nimekuwa nikifanya utafiti wa kutafuta vyanzo mbalimbali vinavyofanya tathimini ya michezo mbalimbali ili kupata tips za mpira za uhakika lakini bado sijafanikiwa kwa 100%. Ninachoweza kushare nanyi ni link ambazo zinaonekana kuuza tips kwa options mbalimbali ambazo zinaweza kufanya ukatajirika kupitia betting.
Jaribuni nanyi kufanya tafiti juu ya hizi link labda tunaweza kupata kitu kwa pamoja ambacho kinaweza kutusaidia kwa pamoja
1. Soccer Match Fixing Tips, Fixed Soccer Match For Today - Soccermatchfixer.com
2. Soccer Combo Bets & Predictions Tips 2017 - Soccercombo.info
Jamani nawaomba tupite hapo, tuone kwa pamoja, pia tunaweza kutengeneza group whatsapp ili tutengeneze njia nzuri na kuona kama tunaweza kufanikiwa.
Hakika, nina maumivu makubwa. Lakini kama ni scammers basi wana strategy nzuri sana ukitazama records.hii yote hasira ya kumchafua kanji za uso
Acha madharau brah kama una tips u better share hakuna ambae hajui izo links always football n 90 minutesHakika, nina maumivu makubwa. Lakini kama ni scammers basi wana strategy nzuri sana ukitazama records.
Sisi kwa umoja wetu hatuwezi kupata game moja tu kwa siku ya kumrudisha kanjibay kwao. Tukiweza kupata odda 1.8+ kwa siku inatosha sana. Na nilipokuwa naangalia analysis zenu, kwa kweli mnatisha.
Mkuu 1.80 humu ni kama kumsukuma mlevi tu hasa kwa 1x bet. Ila mi nimekuwa mgumu kuhamia huko.Hakika, nina maumivu makubwa. Lakini kama ni scammers basi wana strategy nzuri sana ukitazama records.
Sisi kwa umoja wetu hatuwezi kupata game moja tu kwa siku ya kumrudisha kanjibay kwao. Tukiweza kupata odda 1.8+ kwa siku inatosha sana. Na nilipokuwa naangalia analysis zenu, kwa kweli mnatisha.
Mechi nyingi (combo) nina Alegi nazo, single game ya odds 1.8+ nitakuwa pamoja nanyi.Mkuu 1.80 humu ni kama kumsukuma mlevi tu hasa kwa 1x bet. Ila mi nimekuwa mgumu kuhamia huko.
Unanitamanisha namimi niende nao. Ila acha nijikaze tu leo off.Acha madharau brah kama una tips u better share hakuna ambae hajui izo links always football n 90 minutes
Unataka odds 1.8??
Cska moscow 1x
man utd X2
Real madrid 3+
Apoel win
Ulete mrejesho baadae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unanitamanisha namimi niende nao. Ila acha nijikaze tu leo off.
team inapokuwa away, hlf UEFAAcha madharau brah kama una tips u better share hakuna ambae hajui izo links always football n 90 minutes
Unataka odds 1.8??
Cska moscow 1x
man utd X2
Real madrid 3+
Apoel win
Ulete mrejesho baadae
HAWAJAMAA N KAMA CHAI YA ASBH NIKIAMKA LAZIMA NIDILI NAO KWANZA NDIO MENGINE YAENDELEE
Maombi muhimu hizi fixd wako kilakona NA utapeliwaoo. Nikuwamakinihii yote hasira ya kumchafua kanji za uso