Nilivoona madrid kala elf 35 yangu maana mkeka wa kwanza na wa pili nikaona hii tgo pesa nieke tu 1xbet ili nikate elf 5 na kucheza in play in case basi nikatoa madrid nikaunga unga ndio hayo yakatokea asante mkuuSafi sn
Tuko pamoja, MAPAMBANO yanaendeleaNilivoona madrid kala elf 35 yangu maana mkeka wa kwanza na wa pili nikaona hii tgo pesa nieke tu 1xbet ili nikate elf 5 na kucheza in play in case basi nikatoa madrid nikaunga unga ndio hayo yakatokea asante mkuu
Hii ilikuwa ni inplay mkuu?
Umetick ila kwa mbinde
View attachment 699572 View attachment 699573 View attachment 699574 Ahsante derby wamenipa laki 5 leo niliweka mkeka kama timu nane jumla odds 9.8 kwa nia ya kuweka 5000 ktk bonyeza yangu nikaweka elf 50 balance yote tena hela ilikuwa ya kazi nyingn moyo ukishtuka sana hahaha kuja tahamaki nimekata tamaa kumuona derby kapigwa 2-1 dahh sikuamini aisee hahahahahahah t0hnks bet hiii
Asante tayari nimefungua, msaada wa pili ni namna ya kudeposit mpunga.Hakuna complications yoyte just follow procedures uji sajil fanya full registration through your email
Kama ume download App bofya hapoAsante tayari nimefungua, msaada wa pili ni namna ya kudeposit mpunga.
Kama ume download App bofya hapo
Top up account uta kuta pame andikwa
E- payment
Scroll down mpka kweny mobile payment utakuta
Voda na airtel so utachagua mtandao
Kama una tumia tigo usipo ona option ya tigo rudi juu apo chin ya neno E payemnt utakuta wame andika
Payment system on your region afu kuna green box untick iyo sehem itabak plain box
Scroll down uta kuta option ya tigo na voda
Select mtandao husika kisha utaletewa option ya kuweka kias pa1 na namba ya sim so una weka kias kisha no# then una send
Utapokea sms kutoka beyonic ya kukamilisha muamala
#Nb
Ni muhim kias unacho andika kweny kudeposit ndio iko iko uje kujaza pind una kamilisha malipo ukienda tofaut na apo ime kula kwako
View attachment 699562 kwakweli odd 11 za bure kabisa dah
Ahsante mkuuHongera sn, mkuu.
Yah asubuhi wakati naplace zilikuwa odds 8 lakini mida ya baadae zilipanda hadi 12Hongera sana mkuu, bahati ilikuwa upande wako.... Nilitaka kukufuata lkn nilipochunguza nikakuta man U na Sevila huwa wana tabia ya kumaliza sub nikakata tamaa mapema.
Hakika zilikuwa odds karibu 11
BET LOST..... Mamelodi sundowns shiiiiiiit!Odds 3 hizo wadau....1xbet nmeanza nayo kwa kipigo so ngj niendelee na premier kwanza[emoji16][emoji16][emoji16]
Hilo na mm lilinipa wasiwasi nikaachana Nayo hiyo optionHongera sana mkuu, bahati ilikuwa upande wako.... Nilitaka kukufuata lkn nilipochunguza nikakuta man U na Sevila huwa wana tabia ya kumaliza sub nikakata tamaa mapema.
Hakika zilikuwa odds karibu 11
Jaribu kuitafta ela kwa in play.Hongereni sana mliokula mimi upepo toka mwaka huu uanze naona umekuwa siyo, hata leo nimeshindwa kula mkeka hata mmoja
Dah,pole snBET LOST..... Mamelodi sundowns shiiiiiiit!