Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Mkuu naomba leo ulete mapema nijaribu kukufuata
 
Nitaomba mikeka yako
 
Salama Wadau! Respect to ALL,
Hii week naangukia pua saana kama si team 1 basi ni tatu zinankosesha mpunga, wenzangu mnatusua ama upepo mbaya kote.!?


 
jamani naombeni msaada...nilideposit pesa mcheza toka juzi juma 3 lakini mpaka saivi haijaingia na sms nilishaipata sasa kila nikiwapigia wanasema inashulikiwa naleo nisiku ya 3 sioni chochote
 


bakisha hela kwa ajili ya inplay ni muhimu ndo mana napenda kuweka match ambazo mda unakaribiana coz huwa inatokea timu zingine zinaelekea kutiki halaf mmoja tu kwenye mkeka anaelekea kuzingua so unamwendea inplay unambetia kinyume na ulivomuwekea kwenye mkeka. husaidia kubuckup stake kama akizingua kwenye mkeka wa kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…