Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimedeposit mpunga 1XBET Kwa MLipa hela imekuwa Rejected lakini kwangu haijarudi. Mwenye e-mail au namba ya MLipa anisaidie.
 
Washington wizards na mwenzake wameshindwa kutoa vikapu 220.... Dah wameharibu kazi nzuri ya odds 20
 
Nilipumzika wiki 2, nimerudi lkn vipigo bado vinaniandama
 
Nishazoea,

Kupigwa kwny mkeka ni jambo LA kawaida.

Kikubwa ni kuchukulia kupigwa km jambo la kawaida tu, hii ni biashara km nyingine

Leo ni faida , kesho yaweza kua hasara.
Mkuu umenifanya nimehamia 1xbet na nakula green kibao swali natoaje pesa
 
Washington wizards na mwenzake wameshindwa kutoa vikapu 220.... Dah wameharibu kazi nzuri ya odds 20
NBA imesharud kwan? Maana izo over najua mm niza NBA au kuna team nyingine zinatoa tujuzane mkuu
 
Yeah afunge kwa mguu hata kama la kwanza lilifungwa kwa kichwa ila la pili likifungwa kwa mguu bet won.
Mbona pesa ipo nyingi sana huko.... kwa mfano umebet afunge kwa mguu na akafunga kweli pesa inaingia hapohapo au mpaka mechi iishe ndio mpunga unaingia....
 
Yeah afunge kwa mguu hata kama la kwanza lilifungwa kwa kichwa ila la pili likifungwa kwa mguu bet won.
Yap!

Ila tahadhali muhimu usije ukachanganya mafaili

Kuna hizi mbili

Ya kwanza, Goal 1 scored by kicking

Ya pili, Goal scored by kicking
 
DKK hyo hyo
Sawa mkuu tuko pamoja mimi nitakachokuwa nafanya nahamisha mzigo kama ulivyo kutoka kwako yaani COPY & PASTE....

Naomba tu uwe unatupia mapema mikeka Boss ili na mimi nipate muda wa ku copy vizuri hadi nukta [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…