Usjali mkuuSawa mkuu tuko pamoja mimi nitakachokuwa nafanya nahamisha mzigo kama ulivyo kutoka kwako yaani COPY & PASTE....
Naomba tu uwe unatupia mapema mikeka Boss ili na mimi nipate muda wa ku copy vizuri hadi nukta [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hiyo goal scored by kicking ni goal lolote co?Yap!
Ila tahadhali muhimu usije ukachanganya mafaili
Kuna hizi mbili
Ya kwanza, Goal 1 scored by kicking
Ya pili, Goal scored by kicking
YesHiyo goal scored by kicking ni goal lolote co?
Dah afadhaliNBA imerudi Jana mkuu
Hongera sana mkuuHilo ni kweli mkuu,
HAWA jamaa greens zinatoka sana.
Maana options za kula ela ni nyingi mno uku.
Hasa hasa ukicheza bila tamaa ya odds kubwa kubwa
Kwa kukusanya kipato chako kidogo kidogo kwa kubet slot nyingi za odd ndogo ndogo za mechi 1, 2 mpk 3.
Pamoja na kubet inplay kwa kubet slot za mechi moja moja.
Check greens za jana, slot 29 hizo
Nmekula 23 , nmeliwa 6
View attachment 700161View attachment 700162View attachment 700163View attachment 700164View attachment 700165View attachment 700166
Utofaut upo kwan ukiweka over 1 kama goli likapatikana 1 tu na labda ilokuwa na odd yeyote mfano 1.2 hyo odd inafutwa inamaana labda ulicheza single ukabet kwa 2000 bas pesa yako itarudishwa kama ilivyo utakuwa hujala chochote na odd itafutwa hiyo.Guys.. Hivi over 1 na over 1.5 zna tofauti gani??
Ok asante... Na km nikiplace zaidi ya mechi moja(kwenye ticket moja) kwa option hiyohiyo ya over 1?Utofaut upo kwan ukiweka over 1 kama goli likapatikana 1 tu na labda ilokuwa na odd yeyote mfano 1.2 hyo odd inafutwa inamaana labda ulicheza single ukabet kwa 2000 bas pesa yako itarudishwa kama ilivyo utakuwa hujala chochote na odd itafutwa hiyo.
Magoli yakiwa zaidi ya 1 unakuwa umekula ila kama itatokea mechi moja likafungwa goli moja tu basi hiyo odd wanaoiondoa ila utakuwa ume winOk asante... Na km nikiplace zaidi ya mechi moja(kwenye ticket moja) kwa option hiyohiyo ya over 1?
Mkuu tuseme ndio kuji sacrifice au?View attachment 700212 ngumu kumeza kazi kwenu.