Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Every little helps, nisingecash-out Spurs wangeharibu mambo.
 
Kasoro sijaiona button ya kusubmitt stake kwenye haka kadevice kangu kwenye 1xbet
 
15:00
Saarbrucken
Mainz II
1
1.47
16:30
Bayern Munich
Hertha Berlin
over 2.5
1.43
19:30
Teplice
Ostrava
1
1.93
4.05
 
Washington Wizards na leo tena kaharibu odds zangu 103 hayawani kabisa, namblacklist rasmi na kumfungulia GSW
 
Mechi ya Atlas na Monterrey ulivyotoa tips za corners mie niliwekeza monterrey to win odds ilikua 2.85
Naona zimegoma kutoka,

Nlkua naicheck live, atlas walkua wanacheza delay tactics kupoteza tu muda.

MTU akiangushwa tu kidg anagalagala chini ili atibiwe pale pale kwny pitch game isimame.
 
Wakuu jana haikuwa siku nzuri kwangu. Lakini leo nayo ni siku. Mapambano yanaendelea.

Deeppond shukrani kwa kutupa inplay.
 
Kwenye inplay siko vizuri lakini jana nimeona mnapiga pesa, leo natembea na Deeppond, pdidy na troublemaker tu in play. Mungu awape nyota ya kuona makubwa leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…