Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
princess leo haifunguki sijui shida nn
After 5 to 15 minJaman nadroo x bet pesa haiji bhna
Twende sawa inplayHuu mwez nimemla Mara moja tu siku zote napigwa tu
Ngoja niweke salio 1xbet nianze kaziTwende sawa inplay
deepond naona umenogewa kweli na inplayTwende sawa inplay
Naomba kuuliza,ukibet kwenye mechi ambayo kipindi cha kwanza timu zilikua 1-0,dakika ya 65 zikawa 1-1, wewe ukabeti dakika ya 80 zitoke draw, na mpka mwisho wa Mpira matokeo yakabaki hivyo (1-1),je nimekula au nimeliwa?naomba msaada wenu tafadhaliIn play
Mexico liga
Atlas vs montley
Race to 5 corners-Montley
Odds: 6.52
*****BET WOOON*****In play
Japan
Shonan vs Nagasaki
First half under 2.5 goals
Odds: 1.56
Umekula?Naomba kuuliza,ukibet kwenye mechi ambayo kipindi cha kwanza timu zilikua 1-0,dakika ya 65 zikawa 1-1, wewe ukabeti dakika ya 80 zitoke draw, na mpka mwisho wa Mpira matokeo yakabaki hivyo (1-1),je nimekula au nimeliwa?naomba msaada wenu tafadhali
Inategemea in draw ya aina ganiNaomba kuuliza,ukibet kwenye mechi ambayo kipindi cha kwanza timu zilikua 1-0,dakika ya 65 zikawa 1-1, wewe ukabeti dakika ya 80 zitoke draw, na mpka mwisho wa Mpira matokeo yakabaki hivyo (1-1),je nimekula au nimeliwa?naomba msaada wenu tafadhali
Pesa chap chapdeepond naona umenogewa kweli na inplay
Hamia urusiprincess leo haifunguki sijui shida nn
Mkuu nakusubiri hukudeepond naona umenogewa kweli na inplay
Game tightN jet vip mkuu
Under 1.5 goal vipi hapaoGame tight
Jets hajashnda away ktk mechi 5 mfurulizo
Brisbane yuko mkiani anakomaa asishuke daraja.
aaaah ***** nina account lkn huko nina gundu. niliweka 20000 siku tu ya kwanza ikapigwa yote chap chapHamia urusi
We unatumia kampuni gan mkuu?aaaah ***** nina account lkn huko nina gundu. niliweka 20000 siku tu ya kwanza ikapigwa yote chap chap