Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

754f11520c24ec22fd49d2c4023fb27d.jpg
 
Money wheel Jana nimecheza kwa mia3 mia tatu nikiwa na mtaji wa 1500 nikaondoka na 60.000 da sijui kama kuna mwingine mzuri
Yah n bahat,sema kinavozunguka hakiendi kwenye X kubwa, inaishia 2, na 3.
 
Wakuu,

Polen sana mloanza na Bahat mbaya 1xbet

NINGEOMBA WOTE TUKUMBUSHANE MISINGI MKUU WA BETTING
"Epuka Tamaa"

Ila nadhan bado kuna tatzo kdg kwny style za betting

Ni muhimu sn kuishinda Tamaa ktk biashara yoyote

Tamaa ya kutaman kuitunisha account immediately on spot bado ni changmoto

Wengi wetu mnashindwa kuzithamin odd ngogo ndogo km 1.2 mpk 1.4 ktk in play

Ni changamoto kubwa sn kutaman pesa nyingi kwa haraka kupiyia inplay

Mfano: mtu kuplace bet ya kokoro LA mechi 5 kwny in play afu still unategemea upate green 75% ya bets ulizoweka.

Kingine ni watu kucheza option wasizokua na uelewa Nazo, hapa ni vema ukauliza km huna uhakika.

Kingine, ni watu kubet kwa mtindo wa"Kujilipua , liwalo na liwe"

Hii MTU anacheza option ngumu mno kutoka, pia unawz kuta ameweka zaidi ya 30% ya pesa I'll kwny account.

Honestly, hii sio Tabia nzuri.
Bet kustaarabu kwny option simple kutick na kwa stake ya kawaida.

***Nakaribisha maoni,ushauri hata povu ukiona inafaa****

Nawasilisha wakuu
 
binafsi ni bora nichaniwe na odds 2+ but si 1.2

but muhimu kuamini ukifanyacho. tamaa kila siku tunaimba ukiweka mbele utaumia kila siku
 
Shonan Bellmare vs V-Varen Nagasaki
Score: 2 - 1
Min: 90

Match over!!

*To follow LIVE Football & Football News on Duta:*
*Add to your group: +18722387994*

OV 2.5
[HASHTAG]#BOOOOOOOOOOOOM[/HASHTAG]
 
Mpaka sasa Kampuni za TZ zenye INPLAY nyingi na option rafiki ni PlayMaster & GSB
Dah mkuu hyo GSB juzi ulivopost kuwa system yao ya deposit imeshakaa poa si nikajitosa fast nkadeposit 10k kilichonikuta mpk leo nasumbuana nao siku ya 4 hawajanirudishia wananiambia tu kuwa system yao haikuwa imetengemaa bado wako kwenye maboresho lakini kunirudishia mpunga wangu wanapiga danadana tu
 
Back
Top Bottom