Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

In Play

Thailand championship

Nakhon sawan u19 vs Pattaya utd u19

Nakhon Win

Odds 2.72
 
Inplay

M.victory vs Adelaide

First half under 2.5 goals

Odds: 1.56
Dah mkuu pia hii game haina kona kabisa niliplace under 2.5 corners bet won...ilikuwa very risk nikaogopa kushare hapa...anyway pia sec half nahis kona pia zitakuwa adimu pia
 
Kila odds INA risk ktk betting yoyote

Na tusisahau kua risk zinatofautiana

Na ndo maana ikawepo probability ktk betting.

Tunisha account pole pole mkuu.
Muhimu pia kusoma upepo wa mchezo kwa inplay umekaaje na kama ulivyosema tamaa ni kikwazo kwetu
 
duuuh naona um ndani kumechachamaa kila mtu inplay. haina jinsi aisee mana siku timu zenyewe hazieleweki. ni kwenda nazo tu kutokana na upepo wa siku
 
Back
Top Bottom