Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu,

Polen sana mloanza na Bahat mbaya 1xbet

NINGEOMBA WOTE TUKUMBUSHANE MISINGI MKUU WA BETTING
"Epuka Tamaa"

Ila nadhan bado kuna tatzo kdg kwny style za betting

Ni muhimu sn kuishinda Tamaa ktk biashara yoyote

Tamaa ya kutaman kuitunisha account immediately on spot bado ni changmoto

Wengi wetu mnashindwa kuzithamin odd ngogo ndogo km 1.2 mpk 1.4 ktk in play

Ni changamoto kubwa sn kutaman pesa nyingi kwa haraka kupiyia inplay

Mfano: mtu kuplace bet ya kokoro LA mechi 5 kwny in play afu still unategemea upate green 75% ya bets ulizoweka.

Kingine ni watu kucheza option wasizokua na uelewa Nazo, hapa ni vema ukauliza km huna uhakika.

Kingine, ni watu kubet kwa mtindo wa"Kujilipua , liwalo na liwe"

Hii MTU anacheza option ngumu mno kutoka, pia unawz kuta ameweka zaidi ya 30% ya pesa I'll kwny account.

Honestly, hii sio Tabia nzuri.
Bet kustaarabu kwny option simple kutick na kwa stake ya kawaida.

***Nakaribisha maoni,ushauri hata povu ukiona inafaa****

Nawasilisha wakuu
Kweli kabisa mkuu, sema kwenye odds apo huwa ni kama bahati tu, unaweza kuta 2 odd ikakubali af 1.2 ikakuchania mkeka.mfano Ried vs Viena Austria alkuwa na 1.2 lakn kachana tu mikeka nikiwemo mm pia,
 
Wakuu,

Polen sana mloanza na Bahat mbaya 1xbet

NINGEOMBA WOTE TUKUMBUSHANE MISINGI MKUU WA BETTING
"Epuka Tamaa"

Ila nadhan bado kuna tatzo kdg kwny style za betting

Ni muhimu sn kuishinda Tamaa ktk biashara yoyote

Tamaa ya kutaman kuitunisha account immediately on spot bado ni changmoto

Wengi wetu mnashindwa kuzithamin odd ngogo ndogo km 1.2 mpk 1.4 ktk in play

Ni changamoto kubwa sn kutaman pesa nyingi kwa haraka kupiyia inplay

Mfano: mtu kuplace bet ya kokoro LA mechi 5 kwny in play afu still unategemea upate green 75% ya bets ulizoweka.

Kingine ni watu kucheza option wasizokua na uelewa Nazo, hapa ni vema ukauliza km huna uhakika.

Kingine, ni watu kubet kwa mtindo wa"Kujilipua , liwalo na liwe"

Hii MTU anacheza option ngumu mno kutoka, pia unawz kuta ameweka zaidi ya 30% ya pesa I'll kwny account.

Honestly, hii sio Tabia nzuri.
Bet kustaarabu kwny option simple kutick na kwa stake ya kawaida.

***Nakaribisha maoni,ushauri hata povu ukiona inafaa****

Nawasilisha wakuu
Mkuu uko right kabisa
 
halafu mkuu deepond kwangu binafsi odd ndogo huwa risk sana. kwanza najikutaga pesa haiongezeki zaidi ya mtaji tu ndo kuzunguka pale pale coz sio odds ndogo zote hutiki.
 
yani mkuu ilipigwa nikairudishia princess
Mkuu trouble,
Naomba niseme haya

Trouble aisee, betting style yako kias ina ukakasi.

Kwny inplay zako nmeona umekua unatia option risky sana na zenye odds kubwa mno "unajilipua"

Kias kwamba ac inajaa pesa kwa fasta.

Ila ikigoma ndo hivo, kufilisika kunakua kunanyemelea.

Kuna msemo wako unaupenda sana
"Woga wako, umaskini wako"

Uliusema na Jana pia baada ya zile odd mlima zilipotick kwny inplay.

Mm nadhan kidg, ungepunguza rate ya kujilipua.

Au km haliwzkani, basi uwe unatoa kidg tahadhar hasa.

kwa juniours wanaofata, mikeka yako ya inplay km ilivyo.

Hii nadhan itaboresha vema kabisa ustawi wa hii biashara yetu na

Kwa maslahi mapana yetu sote wapambanaji

Ni hayo tu

Nb: samahan km ntakua nmekukwaza mkuu trouble na wengineo
 
Dah mkuu hyo GSB juzi ulivopost kuwa system yao ya deposit imeshakaa poa si nikajitosa fast nkadeposit 10k kilichonikuta mpk leo nasumbuana nao siku ya 4 hawajanirudishia wananiambia tu kuwa system yao haikuwa imetengemaa bado wako kwenye maboresho lakini kunirudishia mpunga wangu wanapiga danadana tu
Pole sana mkuu, that day wakati nasema imekaa poa nilishadeposit 5k ikaingia nkabet in play ikapotea, baadae nadeposit tena ikakataa nikawasilana nao wakaniambia Bado haijawa Official mpaka Mwezi ujao
 
Yeah man, mimi ni fan wa gsb sana so niliposikia tu kuwa mambo yako fresh ata sikuwaza nikatimba mazima but hata hvyo nitakomaa nao watanirudishia tu. Kifupi ni kwamba sasahivi ukitaka kufanya deposit labda uende shop hal kadhalika withdrawal pia ni through shopping tu mpaka watapokaa sawa
 
Mkuu trouble,
Naomba niseme haya

Trouble aisee, betting style yako kias ina ukakasi.

Kwny inplay zako nmeona umekua unatia option risky sana na zenye odds kubwa mno "unajilipua"

Kias kwamba ac inajaa pesa kwa fasta.

Ila ikigoma ndo hivo, kufilisika kunakua kunanyemelea.

Kuna msemo wako unaupenda sana
"Woga wako, umaskini wako"

Uliusema na Jana pia baada ya zile odd mlima zilipotick kwny inplay.

Mm nadhan kidg, ungepunguza rate ya kujilipua.

Au km haliwzkani, basi uwe unatoa kidg tahadhar hasa.

kwa juniours wanaofata, mikeka yako ya inplay km ilivyo.

Hii nadhan itaboresha vema kabisa ustawi wa hii biashara yetu na

Kwa maslahi mapana yetu sote wapambanaji

Ni hayo tu

Nb: samahan km ntakua nmekukwaza mkuu trouble na wengineo
kama nilivosema shida inakuja hata odd ndogo bado ni risk.
 
me nadhani shida si ukubwa wa odds bali ni balance ya inayotiki na kuchanika. je jioni hesabu imekubali au imebuma. na kama ujuavyo ktk kila biashara kuna siku za kucheka na kununa
 
Leo nafanya kama last week natenga pesa moja ya kujilipia moja nawekrza kwan last week corect score ilinitoa choz kwa kunipa mipesa .leo nasaka two teams ztkazotoka 0-0
 
Back
Top Bottom