Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

In play

Mexico liga

Atlas vs montley

Race to 5 corners-Montley

Odds: 6.52
Naomba kuuliza,ukibet kwenye mechi ambayo kipindi cha kwanza timu zilikua 1-0,dakika ya 65 zikawa 1-1, wewe ukabeti dakika ya 80 zitoke draw, na mpka mwisho wa Mpira matokeo yakabaki hivyo (1-1),je nimekula au nimeliwa?naomba msaada wenu tafadhali
 
Umekula?
 
Inategemea in draw ya aina gani

Weka screenshot mkuu ya hyo option inokutatiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…