Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

896cfe4bee1d7f84307703320a5b3afa.jpg
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/8e97a4

Leo natoka hivyo
d2aac0ab1ec6054b264bd76bcf2c6e10.jpg

99dd11240612a5772ef3cf5e95730217.jpg

7f3fcfc375e5a9c59cf47d1077c07799.jpg
 
Inplay

Denmark

Sjk vs AaB

Corner handcap first half- sjk (+1.5)

Odds: 1.58
 
Karbu sana kazin kanji amenakukarbisha
Kwa furaha sana
Hahaha,kabsa mkuu,tungoje za leo sasa,ila leo skuzipenda match zote za leo,niliziona tata zote,so nme bett ila sina raha na bettin za leo,ila mtaj nilionao ambao niliupata jana ambao ni ongezeko la asilimia kama 200% hiv nmelizingatia sana,yaan leo nmeweka buku buku tuu mikeka m3 ,..nahis mi nimwoga sana au ndo vzur hiv mdau?
 
Eeeeh n vzr umestake mikeka
Tofaut tofaut maana unaweza
Kuambuliam moja miwili ikachanika

Au lucifa wa mhind akiamua
bhas anaweza kupitia akasafr nayo
Yote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwa hyo uwe karbu sana na maombi
 
Hahahah,naaam mkuu,maomb muhim,maana hii ni ajira mpya kabsa tz,..ajira za kidigital kwahyo tunazichkulia serious sana asee,leo nilikua mahal fulan jamaa kapiga lak7 jana akawa anatuonyesha mkeka wake nkasema daah kumbe mambo haya ukitulia unapiga,af aliweka 28+ karib yoote,daaah
 
Inplay

Qatar

Al gharafa vs al rayan

Over 6.5 corners full time

Odds: 1.63
 
Inplay

UAE
AL ain vs Al wahda

Al wahda under 2.5 goals full time

Odds: 1.5
 
Hahahah,naaam mkuu,maomb muhim,maana hii ni ajira mpya kabsa tz,..ajira za kidigital kwahyo tunazichkulia serious sana asee,leo nilikua mahal fulan jamaa kapiga lak7 jana akawa anatuonyesha mkeka wake nkasema daah kumbe mambo haya ukitulia unapiga,af aliweka 28+ karib yoote,daaah
Ukiwa seriously unapga mpunga vzr
Tu
 
IN PLAY

GREECE CUP
Larissa V AEK Athens
highest scoring half - 2nd half
odds 1.98
 
In Play

Real Betis V Real Sociedad
corners - 1st half away team - 4+
odds 3.05
 
Back
Top Bottom