Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2018-3-1_22-40-1.png
 
Ha ha ha....

Yaan hao jamaa wakikutana ni lazima MTU avuje uwanjani

Lazima kidgo ngumi zipigwe na red card zimwagwe

Ni BONGE LA derby aisee
Haa haa haa aiseee hyo
Derby yao n ya hatar
Kama vita vle af jamaa kama
Wanakua na kinyongo

Dk 10 za nyongeza aiseee
Huyo refa alikua na kaz sana huko
Uwanjan[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alafu ndio wamerudisha et yaan wanarudisha na kukata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Arsenal vs Manchester City
Score: 0 - 1
Min: 15

[emoji460] Goal!! B Silva
Manchester City
 
Las Palmas vs Barcelona
Score: 0 - 0
Min: 10

[emoji840] Yellow to Dani Castellano
Las Palmas


Ht x
Ft 2
 
Back
Top Bottom