hii mbinu na yenyewe ikifeli basi naacha kubet rasmi maana ntakua sina ujanja mwingine wa kula hela ya betingwakuu baada ya kutafakari kwa muda na vipigo vya kanji nimeamua kuwa nabet single bet naweka mzigo wa maana !!maana naelekea kukosana na shemeji yenu kwa kupoteza hela kila siku
hii mbinu na yenyewe ikifeli basi naacha kubet rasmi maana ntakua sina ujanja mwingine wa kula hela ya beting
ndicho nataka kufanya single bet nkipata elf 30-50 napumzika hadi kesho yake!!sitaruhusu mkeka wng kuwa na timu tatu labda mbili ikibidi sanaMkuu nakushauri kwa single betting jiwekee malengo kiwango fulani cha pesa ukipata kwa siku kama faida unapumzika, ni muhimu sana.
Usiingiwe tamaa wala Kucheza muda mrefu mpaka kuchosha akili.
Binafsi sasa hivi Natafuta elfu 50 tu kwa siku
Ushauri mzuri Sana huuMkuu nakushauri kwa single betting jiwekee malengo kiwango fulani cha pesa ukipata kwa siku kama faida unapumzika, ni muhimu sana.
Usiingiwe tamaa wala Kucheza muda mrefu mpaka kuchosha akili.
Binafsi sasa hivi Natafuta elfu 50 tu kwa siku
Ikitokea Sare, Umeliwa.Mwenye kuelewa hii option Team 2 akitoka sare inakuaje apo kama. Nimeweka ' No '
Naamini atashinda..ila tungoje betting kichaaUtah Jazz huyo haaminiki
BET WONIn Play
SOUTH AFRICA PRIMIER LEAGUE
Bidvest Wits V Baroka Fc
Next goal (scr 1:1) - X
odds 1.58
Monaco ashapewa moja[emoji23]Monaco pia namngoja.ila soccer siku hizi nadhani players pia wana bet
BET LOSTIN PLAY
Monaco V Bordeaux
1st half - 3 way
1
odds 2.57
Monaco atashinda hii gameMonaco ashapewa moja[emoji23]