Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,206
Me ndo nimejiunga X 1bet kuna vitu bado sijajua kama mechi za jana nilibet lakini sioni co cjui kama imechanika au nimeshinda natumia compter tusaidiane jamani aya maisha tu
Me ndo nimejiunga X 1bet kuna vitu bado sijajua kama mechi za jana nilibet lakini sioni co cjui kama imechanika au nimeshinda natumia compter tusaidiane jamani aya maisha tu
Dah ugen wa kutumia app asee si nmehis niko kwwnye 1st half kumbe niko kwenye full,nkabet pesa rafk yangu,daaah,..ndo maisha lakin,ngoja nijitusu sasa nirudishe hela yangu
Hakuna kukata tamaa..*****LOST****
Bofya net history utaona.Me ndo nimejiunga X 1bet kuna vitu bado sijajua kama mechi za jana nilibet lakini sioni co cjui kama imechanika au nimeshinda natumia compter tusaidiane jamani aya maisha tu
Noma kwel mjombaImenitokea hiyo kwenye Game ya Prison inayoendelea
Daa pole mkuu na mm imenitokea hiyo ila kwa miujiza ukatikiDah ugen wa kutumia app asee si nmehis niko kwwnye 1st half kumbe niko kwenye full,nkabet pesa rafk yangu,daaah,..ndo maisha lakin,ngoja nijitusu sasa nirudishe hela yangu
Dah namim mda si mref nmeirudisha ile pesa mara 3 zaid asee,nilijitusu fweza nying kwa madogo under19 mda si mref,piga maombi kwa Sir God kinoma,dah si ikatik af ilikua odd 1.9 nkaweka fweza,.Daa pole mkuu na mm imenitokea hiyo ila kwa miujiza ukatiki
******BET WOOOOON****Inplay
Uzbekistan
AGMK vs Navbahor
Over 1.5 goals full time
Odds: 1.60
******BET WOOOOON****
Inplay
Greece
Ergotis vs panachaik
First half - Ergotis under 1.5 goals first half
Odds: 1.41
Baba tuko pa1,hahaha,naona mguu kwa mguu babaNimechelewa dadeki ipo 1.1