Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Imeshatoa hii Daaah!!.. nimeichelewa
Option hizi kama sizielew vile.. kwani hapo si kampa portigal apate goli moja na si kwamba mechi yote itoe over 0.5, ni Portugal pekee atoe 0.5 au mie nimelewa vibaya.
 
wazee wa kubeti nijuzeni hawa premier betting wanalipa on time baada ya kushinda au huwa wanaxingua?
 
******BET WOOOOOOON******

IMG_1537.JPG


Japo nilichelewa ila nilikuta Odds zimenona
 
Dah ugen wa kutumia app asee si nmehis niko kwwnye 1st half kumbe niko kwenye full,nkabet pesa rafk yangu,daaah,..ndo maisha lakin,ngoja nijitusu sasa nirudishe hela yangu
 
Back
Top Bottom