makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Kikubwa tumuombe mungu tu mambo yatiki, kamali upepo kama upepo wake ukiendelea hiv tutafaidika..Mkuu makaveli karibu 1xbet mimi nilikuwa mdau mzuri wa princess bet ila tangu jamaa deeppond ahame kule ikanibidi na mm nihame tu.....
Nimekubali ushauri wako kwa jamaa deeppond kuwa awe anaweka na stake ili kwenda nae sawa....
Thou kipindi yuko princess alikuwa anatupia na stake na alikuwa anapasuka si mchezo.....
So na imani atarudisha utaratibu wake wa kutupia mkeka plus stake ili wote tuwe tunakusanya mapato sambamba....
Na MAPAMBANO YAENDELEEE
Hawezi akawapiga siki zote kuna kipindi lazima akutane na maswahibu kama alivyokuwa anapigika huko princess bet, Ila si unajua mtumainia cha ndugu hufa masikini[emoji24] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tujiandae